Naombeni msaada wa kupata mafuta ya ubuyu

Bigmaaan

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
306
Reaction score
699
Habarini wadau.

Nimejaribu sana kutafuta mtandaoni namna ya kuyapata, ila sijapata uelekeo. Kwa mwenye kujua namna naweza kuyapata anisaidie.

Ninahitaji kiasi kama lita moja tu, kwa matumizi binafsi na si biashara.

Asanteni.
 
Kama upo Dodoma yapo ambayo yako kwenye package ya 200ml kwa ajili ya kupaka kwenye ngozi.
 
Viwanda vilifungwa Kwa kuwa serikali iligundua Yana aflatoxin nyingi sana inayosababisha cancer...labda local made
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…