Madaga
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 505
- 634
Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi!
Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake yalikuwa na maneno kama:
"Masai kavamia pori kakutana na Wamakonde,
Wamemchoma mishale ya sumu,
Wamemchoma mishale ya sumu,
Kata kiu eeeeeeeeee..."
Wimbo huu uliimbwa na mwimbaji wa kiume, na nina hisia huenda ulikuwa wa Twanga Pepeta, Msondo Ngoma, Sikinde, Vijana Jazz, Maquis Original au bendi nyingine maarufu za dansi za wakati huo.
Kama kuna mtu anaukumbuka jina la wimbo au bendi iliyoimba, tafadhali nisaidie! Naomba msaada wenu wapenda dansi!
Asanteni sana.