Naombeni msaada wa kwenda kufanya kazi Ulaya

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
1,692
Reaction score
4,442
Wakuu naombeni mwenye uwezo au conection ya kunipeleka ulaya anisaidie niepukana na haya maisha ya kifukara.

Mara mia nikawe fukara huku duniani kuliko kuwa fukara hapa nyumbani.

Mimi kazi yoyote ile nafanya, isipokuwa kuolewa.

Sihitaji ushauli wa kujiajiri sababu sina mtaji. Hapa tu niko kwenye intarnet cafe hapa msasani napeluzi JF nimelipia.

Sina simu ya kusema niuze nipate mtaji.
 
kwenda kwenyewe mbele kunaitaji mtaji vilevile.Capital is invitable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…