antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Kama mtu anajua sehemu au yeye mwenyewe ananunua vitu used jijini Dodoma naomba anishtue nina simu yangu nahitaji kuiuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usiingie Instgram ama jf ukaipost na eneo ulilopoKama mtu anajua sehemu au yeye mwenyewe ananunua vitu used jijini Dodoma naomba anishtue nina simu yangu nahitaji kuiuza
Sina followers insta kiongoziKwanini usiingie Instgram ama jf ukaipost na eneo ulilopo
Ni aina gani iyo simuSina followers insta kiongozi
Pamoja kiongoziNenda Barbara ya sita kwa mwarabu ila uwe na risiti
Infinix hot 6Ni aina gani iyo simu
Kama mtu anajua sehemu au yeye mwenyewe ananunua vitu used jijini Dodoma naomba anishtue nina simu yangu nahitaji kuiuza
OkNa bado,mpaka iishe January utaitika abee.Karo ya shule,pango,mafuta ya ki-ist chako,hela ya kula,mchepuko,kula bata,hela ya dgarura n.k.
Utayatafuta sana maduka ya vitu used,mpaka maduka ya matako used.
Mabuzi yenyewe hoi bin ho!!!
Mkuu jikaze tu,hamna namna.Nyambafu weee!!
Hahahahaha!!!
Una chuki nae? mbona umetumia maneno yenye ukakasi sanaNa bado,mpaka iishe January utaitika abee.Karo ya shule,pango,mafuta ya ki-ist chako,hela ya kula,mchepuko,kula bata,hela ya dgarura n.k.
Utayatafuta sana maduka ya vitu used,mpaka maduka ya matako used.
Mabuzi yenyewe hoi bin ho!!!
Mkuu jikaze tu,hamna namna.Nyambafu weee!!
Hahahahaha!!!
Mkuu ingia insta Mtafute #usedpoint utafata utaratibu wake ukifanikiwa Utaleta mrejeshoKama mtu anajua sehemu au yeye mwenyewe ananunua vitu used jijini Dodoma naomba anishtue nina simu yangu nahitaji kuiuza
Una chuki nae? mbona umetumia maneno yenye ukakasi sana
Una chuki nae? mbona umetumia maneno yenye ukakasi sana