Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

Mageuzi92

Member
Joined
Jan 14, 2023
Posts
6
Reaction score
3
Hello jamaa zangu,

Tumaini langu mnaendelea vizuri.

Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.

Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
 
Hello jamaa zangu, tumaini langu mnaendelea vizuri. Naitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara Ila pesa yangu ni kidogo sana.

Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
Kama uko Dar tafuta kampuni inaitwa watu huwa wana ofis sehemu mbal mbal Dar km vile kibo complex
 
Watafute watu credit moja ya ofisi zao iko pale mwenge mpakani

Vigezo vyao sio vigumu sana

Kuna pesa ya utangulizi
Lazima uwe na mdhamini

Mengine ni ya kawaida tuu boss

+255688354159 Mcheki huyu for more info
 
Asante ndugu
 
Hello jamaa zangu,

Tumaini langu mnaendelea vizuri.

Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.

Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
Nenda Halmashauri
 
Back
Top Bottom