Naombeni msaada wa maoni yenu

Naombeni msaada wa maoni yenu

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Kwa anaejua je supu Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni sawa au itamletea madhara naombeni mnifahamisge wanajamvi.
 
Haisumbui
Isumbue na nini.....

Hivyo vidonda vinasumbuliwa na vitu vyenye acid tangawizi, pilipili, ndimu, nk

Piga pantoprazole miezi yako mitatu maisha yaendelee usivilee kama unalea mayai.

Unakula supu ya nini kwanza? Naomba na mie
 
Kula supu ya kitimoto wewe kijana upone haraka usiweke pilipil wala limao ndo vitakuumiza
 
Back
Top Bottom