Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
Hakii sielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakii sielewi
Mazoezi sina muda ndo shida.labda niende asubuhi saa 10/11Unene ni dalili kuwa mwili haupati mazoezi ya kutosha, hakuna excuse Miss Natafuta fanya tizi [emoji4][emoji4][emoji4], mimi ndio usiseme ni mnene mpaka najichukia,nishafanya mazoezi weeee lakini wapi..napunguza mbili naongeza nne [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2955]
Sina dalili ya kidney disease bna,halafu asubuhi nikiamka niko normalPamoja na mengine kama kucheck PB na kidney function, nenda pharmacy kubwa ulizia leg stokings zijazo Saidi’s circulation.
Unakojoa vizuri na una unahisi kiwango cha mkojo kina uwiana na kiwango cha vimiminika unavyokunywa?Sina dalili ya kidney disease bna,halafu asubuhi nikiamka niko normal
Hivi sex inasaidia??
Hata yangu ni mizuri piaUna miguu mizuri dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yes dear.nakojoa fresh tuUnakojoa vizuri na una uhusiano kiwango cha mkojo kina uwiana na kiwango cha vimiminika unavyokunywa?
Ikiwa haijavimba.nilishawai kushinda shindano la miguu .sijui ndo waliniloga mle?? Sasa hivi mvuto hakuna daah wanga kweli wabongoUna miguu mizuri dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sex inaweza kusaidia ndiyo [emoji16][emoji16][emoji16]Sina dalili ya kidney disease bna,halafu asubuhi nikiamka niko normal
Hivi sex inasaidia??
www.medicalnewstoday.com
Yako sijawahi kuiona Sky....[emoji16][emoji16][emoji16]Hata yangu ni mizuri pia
Yes dear.nakojoa fresh tu
Mimi mazoezi ya kutembea yalinisaidia sana na kupunguza kula kula na usiku nilikuwa nakula matunda tu, mchana saa nyingine nashindia maziwa mgando, mboga mboga kwa sana, nilipungua miguu ikaacha kuvimba.Aisee cariha, njoo usaisie watu huku kupunguza kg 10.
Wakifuata maelekezo yako naamini watauona Mwanga..
Nahisi Jamaa alidanganywa K vant inapunguza unene..
Sawa mkuu.ila sina shidaSex inaweza kusaidia ndiyo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2024634
View attachment 2024635
View attachment 2024636
Kuna mwongozo wa kitabibu hapa [emoji116]. Good luck aisee ila kama ulivyoshauriwa na wadau hapo juu kafanye comprehensive physical exam na uhakikishe moyo, figo, ini na viungo vingine vinafanya kazi sawasawa; na kama presha yako pamoja na sukari viko sawa.
![]()
Weight loss: How to shed pounds by having sex
Looking to burn off a few pounds before the peak holiday season? Find out how sex can help you lose weight by burning calories and staving off hunger.www.medicalnewstoday.com
Nazipata wapi sky?
Pharmacy kubwaNazipata wapi sky?