Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #101
Asante ndugu yangu.nimepona pona mkuu.Mungu ni mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ndugu yangu.nimepona pona mkuu.Mungu ni mwema
Ila madam. Kama issue ni mazoezi, kifaa sio tija. Nadhani ile wewe kuamua ndio jambo la msingi.Roughly sh ngapi mkuu??
Dah afadhali aisee. Nimejisikia vizuri.Asante ndugu yangu.nimepona pona mkuu.Mungu ni mwema
Kweli mkuu umeongea ukweli.gym.natamani tatizo sina muda.kazini natoka saa tatu au mbili usiku ndo nafika home.Ila madam. Kama issue ni mazoezi, kifaa sio tija. Nadhani ile wewe kuamua ndio jambo la msingi.
Mfano:
Mimi nilikua natamani sana kuanza mazoezi ya baiskeli. Nikamwambia rafiki yangu akaniambia usinunue baiskeli. Aniazime kwanza yake nikae nayo mwezi. Nikiwa bado naendelea itumia after mwezi ndio ninunue. Nikaona ananizingua. Nikanunua tena ya 350k.
Huwezi amini baada ya wiki 2 niliacha endesha. Ile baiko alikuja akachukua tu dogo wangu for free. Maana ilifika muda naendesha ata mara 1 au 2 kwa mwezi.
My point [emoji117] Ungeanza kwanza mazoezi (kama lengo la baiskeli ni ilo) ata local gym wengi wanazo. Ukiona unaweza kwenda atleast 3 times a week. Kwa muda wa mwezi. Unaweza nunua iyo baiskeli ya ndani.
Mimi sio doctor ila kama issue ni mazoezi nimeomba ufanye ivo.
Mbali na spinning baiki kuna zile treadmill mashine. Zile za kukimbia uku upo hapo hapo.
View attachment 2698647
Mpya ni za bei kidogo ila used zinaweza poa ata 500k to 700k hivi.
Ila yote ni kwanza uwe kwanza na moyo unaweza nunua kifaa kikawa kipo tu ndani.
Mmmh sio kwa kujali huko.Dah afadhali aisee. Nimejisikia vizuri.
Asante kwa ushauri
Hamna dawa???