Naombeni msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi

Naombeni msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi

Rajesi

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
29
Reaction score
13
Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo:
- Law
- Journalism
- Public administration
- Social Work

Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
 
Zote haziko marketable. Itategemeana na bahati yako tuu.
 
Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo:
- Law
- Journalism
- Public administration
- Social Work

Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
Kama ni kuchagua kati ya hizo usisome hizo mbili za chini.. kama ukichagua journalism basi kasome mass communication ndiyo ina uwanda mpana zaidi
 
Zote ajira zake ni ngumu kidogo huku mtaani, hivyo nakushauri uchaguwe moja ambayo unahisi pengine unaweza ukajiajiri ikiwa hauto pata kuajiriwa.
 
Kama ni kuchagua kati ya hizo usisome hizo mbili za chini.. kama ukichagua journalism basi kasome mass communication ndiyo ina uwanda mpana zaidi
P bro nashukuru he ni vyuo vipi vinavyotoa hiyo koz ya mass communication
 
Back
Top Bottom