Naombeni msaada wa ushauri kati ya Kuroiler na Broiler.

Naombeni msaada wa ushauri kati ya Kuroiler na Broiler.

Mh
angalia kama una mtaji wa uhakika. Maana kroiler kwenye kula aisee usipoangalia utawauza kabla hawajafikia malengo yako.
Hii ni kwasbb kroiler wanakaa mda mrefu mpka kuja kuuza kuliko broiler.

Kwenye upande wa broiler hawa ni mda mchache na kama mdau alivyosema hapo kawaida faida yao huwa 1000- 1500 kwa kuku mmoja.

Nliwah kuona mfugaji wa kroiler alikuwa nao 100 walikuwa wanamaliza gunia la kilo 100 la chakula kwa wiki mbili tu mda mwngne hta wiki mbili zinaweza zisifike.

Kroiler wana faida ila kabla ya kupata hyo faida lazima uwe umejipanga mtaji.
hatari ila hii mada imenibamba kweli maana nlikua na isabu ya kufuga kuku jamii ya kuroiler ila kama hali yenyewe ndo iyo itabidi kwanza niskilizie mshindo
 
Back
Top Bottom