fidelis zul zorander
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 685
- 176
wahi apply chuo kipo mwanza na kingine dodoma ila sijui kama haujachelewa.
Apply Chuo cha Mipango Dodoma.
Na mimi jamani pia napenda kwenda IRDP But nimepata III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D
mkuu naweza nikapata jina kamili ili nikigoogle
Vp?kuhusu MKOPO ndugu yangu?
una vigezo vya kuomba chuo kikuu, omba usicheleweNa mimi jamani pia napenda kwenda IRDP But nimepata III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D