Naombeni msaada wa vyuo vya diploma ya rulal development planning...

Naombeni msaada wa vyuo vya diploma ya rulal development planning...

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
685
Reaction score
176
nimemaliza 4m six nimepata div 3.17 ya hgl naipenda sana rulal development nataka nisome diploma naombeni mnisaidie vyuo vinavyotoa hiyo course na jinsi ya kuapply....asanteni wakuu
 
wahi apply chuo kipo mwanza na kingine dodoma ila sijui kama haujachelewa.
 
RDP. kifupi kama jamaa alivyoweka heading,
kipo bwiru.
 
Na mimi jamani pia napenda kwenda IRDP But nimepata III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D
 
Ungepata Div one au Two yakukuwezesha kusoma degree (SUA au IRDP), usingekuwa kilaza wa kuwa na interest ambayo hujui hata vyuo vinavyotoa hiyo programme......
 
Kuna Tengeru Arusha na Ombolo Dodoma (Chuo Cha Serikali za Mitaa)
 
Back
Top Bottom