NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,422
- 2,418
Habari zenu wadau.
Natumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania.
Kama mada husika inavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wenu wadau katika hii sekta ya ufugaji. Well, tunafuga kuku hapa nyumbani sasa kuna tatizo limejitokeza kwa baadhi ya kuku tunashindwa kuelewa linasababishwa na nini na nini ni tiba ya tatizo hilo. Kuku anakuwa anajirusha rusha kama anataka kufa hivi, kisha utakuta anaangalia juu na shingo inajikunja, inalegea, kisha huanza kuishiwa nguvu na kuanza kusinzia kama anataka kufa hivi, wengine na miguu yao huwa imejinyosha tu na haina nguvu i.e hawawezi kusimama kabisa yaani.
Najua wazi kuwa hapa nilipo nipo sehem sahihi kabisa mahali Jamii inapokutana, hivyo naombeni msaada wenu wadau wa hii sekta. Natanguliza shukran zangu kwenu.
Wakuu Malile, Mama Joe, Nono, Chasha Poultry, Kubota.
Asanteni sana.

Last edited by a moderator: