Naombeni msaada wadau huu ni ugonjwa wa kuku...?.

toka lini broiler wakaugua mahepe?? mahepe inajotokeza kuanzia week ya 16.....
na husababishwa na viruses...
magonjwa yote ya viruse hukingwa kabla hayajatokea

Asante sana mkuu nashkuru kwa mchango wako kiongozi. Sasa kwa uzoefu wako huu unaweza kuwa ni ugonjwa gani mkuu...?.

Thanks a lot.

Cc Moi Dinya, alphonce.NET
 
Last edited by a moderator:
wape vitamini zenye antibiotic ndani yake...
pia kwenye chakula ongeza dcp
 
hiyo yaweza kuwa ni SOTOKA

Huu ugonjwa husababishwa na nini mkuu.

Halaf huu ugonjwa wa SOTOKA, KIDERI NA MDONDO una tofauti gani wakuu ni ugonjwa mmoja au ni magonjwa tofauti tofauti viongozi...?.
 
cc wenyewe kwetu huwa hiyo hali inawatokea kuku wetu japokuwa wetu ni wa kienyeji, sasa huwa tunakaanga maganda ya mayai na kuyatwangwa kisha kuwachanganyia kwenye pumba, pia huwa tunawapa majani hasa jamii ya mchicha na mchicha wenyewe.
 
Mifugo ina challenge nyingi. Sifugi ila namfahamu mtu anaefuga in medium scale ana daktari wa wanyama ambae anampa ushauri
 
Hao sio kuku ni mabomu ya kibaiyolojia toka Israel!
Lengo ni kukudhuru wewe na kuku wako hapo home!
Kuku yake kideri, na dawa yake ni kuchinjwa tu!
 
.......
safi mkuu huwa inaendana na upungufu wa madini hasa calcium na phosphorus ambayo yako kwenye hayo maganda...ila kwa kifupi ndo maana nikamwambia atumie (DCP) Hayo ni ready made...pia huchangiwa na upungufu wa vitamins hasa B,,D nk
ndo maana nikamwambia awape maltvitamins....
kama ameelewa ameelewa
 
Asante kiongozi hawa ni wa kisasa (broiler).
 
Mifugo ina challenge nyingi. Sifugi ila namfahamu mtu anaefuga in medium scale ana daktari wa wanyama ambae anampa ushauri

Yupo mkuu dada mmoja amesomea hiyo sekta na ana duka la ufugaji pia.

Kuna muda walikufa kuku kama 200 naa, ndio tukampata huyo kwa kweli alitusaidia kwa asilimia 95 ya vifo ikawa hawafi kama mwanzo akatupatia na dawa vifo vikakatika. Yupo mkuu.
 
.......
safi mkuu huwa inaendana na upungufu wa madini hasa calcium na phosphorus ambayo yako kwenye hayo maganda...ila kwa kifupi ndo maana nikamwambia atumie (DCP) Hayo ni ready made...pia huchangiwa na upungufu wa vitamins hasa B,,D nk
ndo maana nikamwambia awape maltvitamins....
kama ameelewa ameelewa

Nashkuru mkuu ila sio mbaya kama tukaelewa zaidi na zaidi kwa sababu naamini vichwa, uelewa na elimu hutofautiana kiwango na kiwango mkuu. Ila nashkuru sana wiseboy.
 
Last edited by a moderator:
Hao sio kuku ni mabomu ya kibaiyolojia toka Israel!
Lengo ni kukudhuru wewe na kuku wako hapo home!
Kuku yake kideri, na dawa yake ni kuchinjwa tu!

Dah, wee jamaa bwana......unajua baada ya kukereka na jibu lako nimejikuta nikifurahi tu.

This is JF bhana alwayz be happy upin here. You made my day ndugu.

THANKS :A S 103:.
 
This is JF bhana alwayz be happy upin here, you made my day ndugu.

THANKS :A S 103: .

Watu hawajajuwa, hivi huoni Hata ladha hao kuku hawana? Yale magonjwa kuna siku yataambukizwa kwa binadamu ndo tutakoma. Kuku wanakula dozi kama kichanga cha binadamu?
 
Dah, wee jamaa bwana......unajua baada ya kukereka na jibu lako nimejikuta nikifurahi tu.

This is JF bhana alwayz be happy upin here. You made my day ndugu.

THANKS :A S 103:.

Bahati yako ungenipuuzia nisingekupa dawa, hao kuku kutoka Israel siwapendi kinyama.
Sasa dawa yake ni ndogo sana! Wahamishe hapo walipokulia wapeleke sehumu mbali kabisa na hapo!
Wakizinguwa niambie nikupe dawa nyingine!
 
Back
Top Bottom