toka lini broiler wakaugua mahepe?? mahepe inajotokeza kuanzia week ya 16.....
na husababishwa na viruses...
magonjwa yote ya viruse hukingwa kabla hayajatokea
cc wenyewe kwetu huwa hiyo hali inawatokea kuku wetu japokuwa wetu ni wa kienyeji, sasa huwa tunakaanga maganda ya mayai na kuyatwangwa kisha kuwachanganyia kwenye pumba, pia huwa tunawapa majani hasa jamii ya mchicha na mchicha wenyewe.

Mifugo ina challenge nyingi. Sifugi ila namfahamu mtu anaefuga in medium scale ana daktari wa wanyama ambae anampa ushauri
.......
safi mkuu huwa inaendana na upungufu wa madini hasa calcium na phosphorus ambayo yako kwenye hayo maganda...ila kwa kifupi ndo maana nikamwambia atumie (DCP) Hayo ni ready made...pia huchangiwa na upungufu wa vitamins hasa B,,D nk
ndo maana nikamwambia awape maltvitamins....
kama ameelewa ameelewa
Hao sio kuku ni mabomu ya kibaiyolojia toka Israel!
Lengo ni kukudhuru wewe na kuku wako hapo home!
Kuku yake kideri, na dawa yake ni kuchinjwa tu!
Dah, wee jamaa bwana......unajua baada ya kukereka na jibu lako nimejikuta nikifurahi tu.
This is JF bhana alwayz be happy upin here, you made my day ndugu.
THANKS :A S 103: .
Dah, wee jamaa bwana......unajua baada ya kukereka na jibu lako nimejikuta nikifurahi tu.
This is JF bhana alwayz be happy upin here. You made my day ndugu.
THANKS :A S 103:.