cy el devon
Member
- May 5, 2012
- 50
- 7
Naombeni msaada wapendwa.....nahitaji kusomea ujuzi wa umeme wa magari, ngazi yangu ya elimu ni kidato cha nne sikubaatika kupata alama nzuri za masomo.Nilipata four ya 30;
Civ......D
Hist.....D
Geo.....F
Kisw...D
Eng.....F
Phy.....D
Chy.....F
Bio......D
Math...F
Nahitaji kujiendeleza mdogo wenu.Kwasasa mm ni police officers na nina mwaka mmoja tuu kazini naombeni ushauri wenu.
Nashukuru kwa msaada
Dogo hebu jaribu kwenda d.i.t na uanze ngazi ya cheti coz naona kama una d tano
Coz za veta hasa long course ni miaka 3 so ww jipnge hasa na uombe ruhsa kazni ya kwenda kusoma ili uendlee kufaid mshahara wa serkal
hupendi upolisi.? kwanini...
mi nadhan ushauri wa huyo jamaa hapo juu ni mzuri. Veta ni solution