Naombeni msaada wapendwa

Naombeni msaada wapendwa

cy el devon

Member
Joined
May 5, 2012
Posts
50
Reaction score
7
Naombeni msaada wapendwa.....nahitaji kusomea ujuzi wa umeme wa magari, ngazi yangu ya elimu ni kidato cha nne sikubaatika kupata alama nzuri za masomo.Nilipata four ya 30;
Civ......D
Hist.....D
Geo.....F
Kisw...D
Eng.....F
Phy.....D
Chy.....F
Bio......D
Math...F
Nahitaji kujiendeleza mdogo wenu.Kwasasa mm ni police officers na nina mwaka mmoja tuu kazini naombeni ushauri wenu.
 
tembelea chuo cha veta, nadhani utapata unachokihitaji.
 
Coz za veta hasa long course ni miaka 3 so ww jipnge hasa na uombe ruhsa kazni ya kwenda kusoma ili uendlee kufaid mshahara wa serkal
 
Coz za veta hasa long course ni miaka 3 so ww jipnge hasa na uombe ruhsa kazni ya kwenda kusoma ili uendlee kufaid mshahara wa serkal

Samahan... kwan kwasasa nikienda kuchukuwa form veta sinitakuwa nimechelewa kweli?
 
hupendi upolisi.? kwanini...
mi nadhan ushauri wa huyo jamaa hapo juu ni mzuri. Veta ni solution

Hapana siokwamba sipendi u police kaka but natafuta ujuzi zaid coz katika jeshi la police nikitegemea cheti cha 4 wataniumiza sana kaka nashukuru kwa ushauri wako nitaenda kufuatilia form ya kujiunga na chuo hapo veta.
 
Back
Top Bottom