Mkuu huwez kudahiliwa chuo chochote ngazi ya degree bila kupitia TCU na hii wamefanya hivi siku hizi ili kuepukana na tatizo la vyuo kudahili wanafunzi wasio na sifa stahiki.
Jaman mie! kwaiyo ndo imekula kwangu jaman. T.C.U wenyewe wanaweza wakutupe hata usipopataka na mimi nahitaji kwenda chuo kimoja tu jamani mie.
chuo ambacho unaweza kuapply direct ni morogoro muslim university,hawa hawatumii TCU