josephthadey
Member
- Dec 19, 2014
- 8
- 2
Wana JF naombeni ushauri wenu..Meno yangu yameoza toka nikiwa mdogo sasa nina miaka 21 nachukia sana rangi ya meno yangu kwani sina uhuru ninapokuwa katika maongezi na watu nifanye nini yarudi kuwa meupe kama zamani?