J josephthadey Member Joined Dec 19, 2014 Posts 8 Reaction score 2 Jan 8, 2015 #1 Wana JF naombeni ushauri wenu..Meno yangu yameoza toka nikiwa mdogo sasa nina miaka 21 nachukia sana rangi ya meno yangu kwani sina uhuru ninapokuwa katika maongezi na watu nifanye nini yarudi kuwa meupe kama zamani?
Wana JF naombeni ushauri wenu..Meno yangu yameoza toka nikiwa mdogo sasa nina miaka 21 nachukia sana rangi ya meno yangu kwani sina uhuru ninapokuwa katika maongezi na watu nifanye nini yarudi kuwa meupe kama zamani?
L ladyfocus JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 968 Reaction score 711 Jan 8, 2015 #2 nenda hosptl wanatoa hyo servc