Pole sana kwa Changamoto pengine unge-elezea kwa ufupi ujuzi/taaluma uliyonayo pamoja na uzoefu ili kama itapatikana nafasi mahali utangaziwe mkuu!Wakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama,
Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu kimaisha, Nina Mtoto yupo shule/kodi, Mke wangu Mjamzito natarajia kupata Mtoto Mwingine na sina Kitu kabisa
Wazazi nao wananiangalia Mimi kama tegemeo lao,
Nina zaidi ya Mwaka Mmoja kwenye Hii misukosuko(Ni story ndefu Sana) Nipigwa Sana kiuchumi,
Mnisaidie Ndugu zangu
Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu Nikipa ajira itakuwa heri zaidi lakini pia hata mtaji maana Nina Experience ya biashara ingawa kwa sasa uko Nimeyumba vibaya Sana,Unataka msaada wa aina gani? Ajira? Au unataka kuchangiwa? Wakristo na Waislamu wote tumefunga na huu ni wakati mzuri wa kutoa msaada kwa watu baki. Kama unataka kuchangiwa sema ili wenye moyo wafanye hivyo. Ila kwanza jaribu kucheki na uongozi wa JF ili uone kama kuna mwongozo. Matapeli walishaharibu imani ya watu mpaka mtu mwenye shida halisi kama wewe hivi watu wanaweza kusita sita.
Pole sana. Utavuka! ππΏ
Mkuu sikukatalii ila Niliwekwa kwenye angle mbaya na kimfaacho mtu chake, ila nilijinusuru kwa Muda lakini jahazi Naona linazamaππππ
πππππINAUZWA - Mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa
Habari za weekend, Wakuu. Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake, Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K, Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu, Karibu Sana.www.jamiiforums.com
Hapo juu ulikuja unauza kiwanda kabisa bila aibu wakati ungeweza kusimamia ukajiingizia fedha..
any way, sawa... ukapata laki nane, Je ulizipeleka wapi?
Wakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama,
Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu kimaisha, Nina Mtoto yupo shule/kodi, Mke wangu Mjamzito natarajia kupata Mtoto Mwingine na sina Kitu kabisa
Wazazi nao wananiangalia Mimi kama tegemeo lao,
Nina zaidi ya Mwaka Mmoja kwenye Hii misukosuko(Ni story ndefu Sana) Nipigwa Sana kiuchumi,
Mnisaidie Ndugu zangu
Natanguliza shukrani zangu.
[/QUOT.
Ccm wanasema urudi veta mkuuu
Pole sana ila ccm hawajui hayo,wao wanasema veta inakuhusu ,yaani rudi vetaWakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama,
Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu kimaisha, Nina Mtoto yupo shule/kodi, Mke wangu Mjamzito natarajia kupata Mtoto Mwingine na sina Kitu kabisa
Wazazi nao wananiangalia Mimi kama tegemeo lao,
Nina zaidi ya Mwaka Mmoja kwenye Hii misukosuko(Ni story ndefu Sana) Nipigwa Sana kiuchumi,
Mnisaidie Ndugu zangu
Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu Mimi by Profession ni Electrical Engineer,Pole sana kwa Changamoto pengine unge-elezea kwa ufupi ujuzi/taaluma uliyonayo pamoja na uzoefu ili kama itapatikana nafasi mahali utangaziwe mkuu!
Usijali ni kipindi tuu kwenye maisha kitapita kama upepo uvumao
Electrical Engineer lakini pia Nina cheti cha Uendeshaji wa MITAMBO (Excavator) hapa sina uzoefu kwenye hydraulic ExcavatorPole sana wengi tupo kwenye msoto wa Hali ya juu sana, nimeona hata uvivu wa kwenda kujiandikisha kama mpiga kura, japo kituo kipo nyumba ya tatu toka nilipo lakini chaguo langu ni mama samia, ungeweka wasifu wako huenda ungesaidika, (professional yako hukuweka)
Njoo DM ,Mimi pia ni Electrical Engineer mbona mkuu na sin ajira toka 2018 ? ,Life linaenda kibishi .njoo DM tuyajenge ,usikate tamaa kidumeMkuu Mimi by Profession ni Electrical Engineer,
Lakini nimepambana kwa hiki kipindi cha mpito kutafuta ajira Bila mafanikio, Nimejaribu Sana,
Lakini sijapata tamaa
Mkuu Nina Neno moja Tu kwenye haya Maisha,Mkuu kama nitakuwa sawa, ulikuja mwaka Juzi hapa ukiwa na ajira yako nzuri tu tena ukakopa benki ya Stanbic..
ππππ
ππππMsaada: Malipo ya deni langu Stanbic Bank
Habari za wakati huu Wana JF, Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Nilikopa bank ya STANBIC mwaka huu kupitia salary slip. Na mshahara wa mwezi uliopita deni lao halikuonekana kwenye salary slip yangu (yaani hawakukata) sijui kosa la mwajiri au nani sijui? Nimekuwa nikipokea...www.jamiiforums.com
Tuambie kwanza mbona umetuficha kuhusu hili?
Mbona hizi Skills ni mali kabisa kaka Njoo DM nikupe ushauri , actually ungetoa pia shida yako mapema ningekulink na jamaa wa mgodi flani mkubwa hapa Tanzania mwezi uliopita walikuwa wanatafuta watu wa kuingia kwenye kampuni mama kama Helpers au assistant operators,ila hakijaharibika nenoElectrical Engineer lakini pia Nina cheti cha Uendeshaji wa MITAMBO (Excavator) hapa sina uzoefu kwenye hydraulic Excavator