Naombeni Msaada wenu, Nimekamatika kiuchumi.

Sorry mkuu ya mama Samia yameingiaje tena mku
 
Mbona kama ni mambo binafsi sana haya mkuu? Ila Jf🙌
 
Nimekuja Mkuu
 
Mkuu Mimi by Profession ni Electrical Engineer,

Lakini nimepambana kwa hiki kipindi cha mpito kutafuta ajira Bila mafanikio, Nimejaribu Sana,

Lakini sijapata tamaa
Duuu, ni kweli ajira za Electrical Engineers zimekuwa issue hata utumishi wanatangaza kwa uchache sanaa! Basi usiwe na shaka Chief, nitakapoona au kusikia huko Duniani nitakujuza.
 
Duuu, ni kweli ajira za Electrical Engineers zimekuwa issue hata utumishi wanatangaza kwa uchache sanaa! Basi usiwe na shaka Chief, nitakapoona au kusikia huko Duniani nitakujuza.
Asante Sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…