Nakushauri ukae chini na kufikiria biashara ya kufanya kwa mtaji wa hiyo school fees ya masters, waambie wakupe mkonon ujaribu ujasiriamali as kusoma masters hakuna msaada wowote kwenye soko la ajira nowdays masters sio ishu tena watu wanasugua kitaaa mpaka wanajuta
Hilo nalo neno kaka, maana kwa kipindi nlichomaliza na kungia huku duniani kama humjui mtu kama mimi kwetu mi ndo nimefika chuo tu utzeeka ukizunguka na bahasha maofisini.Jaribu kuumiza kichwa sana kuhusu kujiajiri na si kuajiriwa. Elimu uliyo nayo ni kubwa sana kukuwezesha kujiajiri. Jipange vizuri. Pia kaa ukifahamu ajira nyingi sana zinaenda kwa kuwa na connection, elimu kubwa ya masters unaweza kupata na bado ukasugua kitaa!
Wenye elimu kubwa kuanzia masters wengi wao huwa walimu vyuoni. So kama undergraduate ulipiga law then una masters ya either MBA au MHR kazi ya ualimu itakushinda. Mambo muhimu ya kufanya... UJIAJIRI AU UAJILIWE KWANZA.. Vinginevyo......
Inatemegemea kwa mfano ofisini kwetu masters ni first condtn ya kupata cheo huna utabaki hapohapo
Hilo nalo neno kaka, maana kwa kipindi nlichomaliza na kungia huku duniani kama humjui mtu kama mimi kwetu mi ndo nimefika chuo tu utzeeka ukizunguka na bahasha maofisini.
Nashukuru kaka kwa kunitoa gizani, maana hata mtaani watu wananisema eti ana degree wakati anasota mtaani kama sisi, hii inauma sana.University degree ni kitu kikubwa sana kwenye proffessional world especially jobs oustide academic institutions,, trace wikipedia key peoples wa kampuni kubwa kama toyota, sony, samsung, microsoft,dell, mahindra, nokia, suzuki, pepsi, etc kuanzia ceo, head of departments etc wengi wao wana undergraduate degree tu moja sema na experience za kufa mtu as business world ni more practical than theory, basic university degree is enough that's why they call it higher educations.. Hizo masters sijui phd ni mbwembwe tu as siku hizi kazi zinafanywa kwa targets so wanachoangalia ni ufanisi wako sana kuliko vyeti.
Ukiwa na university degree unaweza kufanya chochote kwenye business world as universal knowledge on your heads.. A term University comes from word universal to mean a place where people gets universal knowledge.. Ndo maana vyuoni tunafundishwa masomo mengi tofauti tofauti unakuta unasoma accounts but unafundisha law, communication skills, management etc so that to get knowledge on various disciplines which will helps you on decisions making na ambazo zitakusaidia kupambana na chnagamoto za maisha