Naombeni msaada wenu nimeshindwa nianzie wapi mkiwa kama ndugu, jamaa, marafiki, kaka na dada na da

Matokeo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
231
Reaction score
42
Mimi ni kijana nimemaliza degree ya sheria miaka minne chuo cha RUCO Iringa 2011, nimeangaika sana kutafuta hata sehemu ya kujiatachi nimekosa kabisa, kutokana na kipato kidogo cha familia yetu nimeshindwa kuendelea na Law school, ila kuna wasamaria wema wamenisikia wananisaidia nikasome MASTERS wamenishauri nibadilishe fani kidogo nikachukue MBA au MASTERS ya HR, ili niendane naushindani wa soko la ajira hapa Tanzania, nisaidieni wana JF nikasome ipi iniwekwe kwenye ajira umri nao unaenda kwa speed sana.
 
Nakushauri ukae chini na kufikiria biashara ya kufanya kwa mtaji wa hiyo school fees ya masters, waambie wakupe mkonon ujaribu ujasiriamali as kusoma masters hakuna msaada wowote kwenye soko la ajira nowdays masters sio ishu tena watu wanasugua kitaaa mpaka wanajuta
 
Ungeomba polisi ungepata ajira faster! Kama ni kujiendeleza usibadilishe fani specialize kwenye low mambo ya biashara au mambo ya utumishi
 
Nashukuru sana kaka, ubarikiwe kwa ushauri wako
 
Nakushauri ukae chini na kufikiria biashara ya kufanya kwa mtaji wa hiyo school fees ya masters, waambie wakupe mkonon ujaribu ujasiriamali as kusoma masters hakuna msaada wowote kwenye soko la ajira nowdays masters sio ishu tena watu wanasugua kitaaa mpaka wanajuta

Asante mdau kwa ushauri wako, ila wao nia yao ni kuniendeleza kimasomo sijui kama nikiwaambia wanipe hizo pesa nikafanie biashara hawatanielewa.
 
Ungeomba polisi ungepata ajira faster! Kama ni kujiendeleza usibadilishe fani specialize kwenye low mambo ya biashara au mambo ya utumishi

Asante kaka kwa ushauri wako, ubarikiwe bro.
 
Jaribu kuumiza kichwa sana kuhusu kujiajiri na si kuajiriwa. Elimu uliyo nayo ni kubwa sana kukuwezesha kujiajiri. Jipange vizuri. Pia kaa ukifahamu ajira nyingi sana zinaenda kwa kuwa na connection, elimu kubwa ya masters unaweza kupata na bado ukasugua kitaa!
 
Mh ninavyojua waswahili ukiomba hiyo pesa kwa ajili ya biashara hutapewa na sponser itafutwa we kasome Masters ya hr kama ipo
 
Upo sahihi sana ndugu yangu, hata mimi kuwaambia inabidi nijipange sana, nsije nkaipeperusha njiwa.
 
University degree ni kitu kikubwa sana kwenye proffessional world especially jobs oustide academic institutions,, trace wikipedia key peoples wa kampuni kubwa kama toyota, sony, samsung, microsoft,dell, mahindra, nokia, suzuki, pepsi, etc kuanzia ceo, head of departments etc wengi wao wana undergraduate degree tu moja sema na experience za kufa mtu as business world ni more practical than theory, basic university degree is enough that's why they call it higher educations.. Hizo masters sijui phd ni mbwembwe tu as siku hizi kazi zinafanywa kwa targets so wanachoangalia ni ufanisi wako sana kuliko vyeti.

Ukiwa na university degree unaweza kufanya chochote kwenye business world as universal knowledge on your heads.. A term University comes from word universal to mean a place where people gets universal knowledge.. Ndo maana vyuoni tunafundishwa masomo mengi tofauti tofauti unakuta unasoma accounts but unafundisha law, communication skills, management etc so that to get knowledge on various disciplines which will helps you on decisions making na ambazo zitakusaidia kupambana na chnagamoto za maisha
 
Inatemegemea kwa mfano ofisini kwetu masters ni first condtn ya kupata cheo huna utabaki hapohapo
 
Wenye elimu kubwa kuanzia masters wengi wao huwa walimu vyuoni. So kama undergraduate ulipiga law then una masters ya either MBA au MHR kazi ya ualimu itakushinda. Mambo muhimu ya kufanya... UJIAJIRI AU UAJILIWE KWANZA.. Vinginevyo......
 
Jaribu kuumiza kichwa sana kuhusu kujiajiri na si kuajiriwa. Elimu uliyo nayo ni kubwa sana kukuwezesha kujiajiri. Jipange vizuri. Pia kaa ukifahamu ajira nyingi sana zinaenda kwa kuwa na connection, elimu kubwa ya masters unaweza kupata na bado ukasugua kitaa!
Hilo nalo neno kaka, maana kwa kipindi nlichomaliza na kungia huku duniani kama humjui mtu kama mimi kwetu mi ndo nimefika chuo tu utzeeka ukizunguka na bahasha maofisini.
 
Wenye elimu kubwa kuanzia masters wengi wao huwa walimu vyuoni. So kama undergraduate ulipiga law then una masters ya either MBA au MHR kazi ya ualimu itakushinda. Mambo muhimu ya kufanya... UJIAJIRI AU UAJILIWE KWANZA.. Vinginevyo......

Kuajiriwa nako pamekua pagumu sana, kujiajiri sina mtaji, ukiwaambia wakupe hizo pesa ujiajiri nathani hawatakuelewa unawakimbiza hawatakusaidia tena bro.
 
kila la kheri Mungu akufanyie wepesi Inshaallah! naielewa hali hiyo!
 
Inatemegemea kwa mfano ofisini kwetu masters ni first condtn ya kupata cheo huna utabaki hapohapo

Huko kutakuwa serikalini, ndo maana ufanisi huko mbovu wakati kampuni kama toyota, sony zinazidi kuitingisha dunia kwa mafanikio. Watu wanataka ufanisi sio vyeti vingi
 
Hilo nalo neno kaka, maana kwa kipindi nlichomaliza na kungia huku duniani kama humjui mtu kama mimi kwetu mi ndo nimefika chuo tu utzeeka ukizunguka na bahasha maofisini.

Ni kweli: Jaribu kutafuta namna ya kupata kipato cha kusurvive mjini huku unavolunteer in some places. Inategemea pia na mtazamo wako, unaweza fanya kazi za kufundisha, au kufanya consultancy ndogo ndogo za fani yako etc.
 
University degree ni kitu kikubwa sana kwenye proffessional world especially jobs oustide academic institutions,, trace wikipedia key peoples wa kampuni kubwa kama toyota, sony, samsung, microsoft,dell, mahindra, nokia, suzuki, pepsi, etc kuanzia ceo, head of departments etc wengi wao wana undergraduate degree tu moja sema na experience za kufa mtu as business world ni more practical than theory, basic university degree is enough that's why they call it higher educations.. Hizo masters sijui phd ni mbwembwe tu as siku hizi kazi zinafanywa kwa targets so wanachoangalia ni ufanisi wako sana kuliko vyeti.

Ukiwa na university degree unaweza kufanya chochote kwenye business world as universal knowledge on your heads.. A term University comes from word universal to mean a place where people gets universal knowledge.. Ndo maana vyuoni tunafundishwa masomo mengi tofauti tofauti unakuta unasoma accounts but unafundisha law, communication skills, management etc so that to get knowledge on various disciplines which will helps you on decisions making na ambazo zitakusaidia kupambana na chnagamoto za maisha
Nashukuru kaka kwa kunitoa gizani, maana hata mtaani watu wananisema eti ana degree wakati anasota mtaani kama sisi, hii inauma sana.
 
Back
Top Bottom