Naombeni msaada wenu nimeshindwa nianzie wapi mkiwa kama ndugu, jamaa, marafiki, kaka na dada na da

Mimi ni kijana nimemaliza degree ya sheria miaka minne chuo cha RUCO Iringa 2011, nimeangaika sana kutafuta hata sehemu ya kujiatachi nimekosa kabisa, kutokana na kipato kidogo cha familia yetu nimeshindwa kuendelea na Law school, ila kuna wasamaria wema wamenisikia wananisaidia nikasome MASTERS wamenishauri nibadilishe fani kidogo nikachukue MBA au MASTERS ya HR, ili niendane naushindani wa soko la ajira hapa Tanzania, nisaidieni wana JF nikasome ipi iniwekwe kwenye ajira umri nao unaenda kwa speed sana.

ushauri wangu mimi ni"one step at a time"nafikiri ni vema hatua ya kwanza ukaimaliza.Nenda law school , ukiisha maliza tafuta chamber ujiegeshe,Mungu akituweka hai ,naweza kukuombea ,nnajamaa zangu wengi wamefungua hizi.Upige pilikapilika za mjini,huku ukifanya test zenu za u advocate,then baadae ndio uone kama utahitaji kusoma hizo masters.sikushauri sana kusoma kwa kuruka ruka.Malizia kwanza hiyo misingi ya kisheria.
Lakini pia jambo la msingi ni kupata uzoefu kwanza,kazi za siku hizi ukiwa fresh zinakua ngumu sana.Ukimaliza Law school nadhani itakusaidia pa kuanzia.Masters unaweza kuja kujisomesha.
 
Nashukuru ndugu yangu, nitajaribu kuwajuza hili niwasilizie wanasemaje hawa wanaonisaidia.
 
Kama umesoma law,kapige masters ya HR,hiyo ni hatua mbele baada ya hapo rudi mtaani fight ajira, utakuwa na uwanja mpana zaidi wa kuomba ajira
 
Nashukuru mkuu Baba V kwa ushuri wako.
 
Mimi ni kijana nimemaliza degree ya sheria miaka minne chuo cha RUCO Iringa 2011, nimeangaika sana kutafuta hata sehemu ya kujiatachi nimekosa kabisa, kutokana na kipato kidogo cha familia yetu nimeshindwa kuendelea na Law school, ila kuna wasamaria wema wamenisikia wananisaidia nikasome MASTERS wamenishauri nibadilishe fani kidogo nikachukue MBA au MASTERS ya HR, ili niendane naushindani wa soko la ajira hapa Tanzania, nisaidieni wana JF nikasome ipi iniwekwe kwenye ajira umri nao unaenda kwa speed sana.
dogo jaribu kupita hapa PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
kuna nafasi mpya za state attorney 47 ,unaweza kubahatisha
sikushauri sana kusoma masters,kama ukijikita zaidi kwenye biashara zako binafsi itakuwa bora
ukatuwa umejitengenezea ajira na kuwatengenezea wengine pia
usikate tamaa rafiki nafasi bado ingalipo
 
Jaribu kuumiza kichwa sana kuhusu kujiajiri na si kuajiriwa. Elimu uliyo nayo ni kubwa sana kukuwezesha kujiajiri. Jipange vizuri. Pia kaa ukifahamu ajira nyingi sana zinaenda kwa kuwa na connection, elimu kubwa ya masters unaweza kupata na bado ukasugua kitaa!

ni Kweli Usemayo...Ila Tambua Kujiajiri Kunahitaji Kipato Na Kujipanga Vizuri!!
 
Thnx vijana wezangu kwa kumpa ushauri mzuri kjn mwenzangu ushauri wenu utanisaidia sana na mm thnx alt wana Jf
 
Huko kutakuwa serikalini, ndo maana ufanisi huko mbovu wakati kampuni kama toyota, sony zinazidi kuitingisha dunia kwa mafanikio. Watu wanataka ufanisi sio vyeti vingi

I will differ with you slightly, ukiangalia hizo kampuni umezitaja hapo, nenda angalia their R&D departmet you will be shocked to find how many Phd holders wako huko. Dunia ya leo research ndio insababisha kampuni inatick!
 
Pole sana kumbe elimu haina maana. nakushauri nenda chadema taifa muone mbowe atakuweka ktk timu ya kina mabele, tundu lisu.
 
nakushauri ukae chini na kufikiria biashara ya kufanya kwa mtaji wa hiyo school fees ya masters, waambie wakupe mkonon ujaribu ujasiriamali as kusoma masters hakuna msaada wowote kwenye soko la ajira nowdays masters sio ishu tena watu wanasugua kitaaa mpaka wanajuta

vema kabisa
 
I mefika wakati kufikilia nje ya Box, kwa degree ya Law bado unaweza fanya biashara kabisa ya Sheria, huko mahakama za kata na vijiji hakuna washauri wa maswala ya Sheria, watu huhangaika hadi Town, Tatizo tunapenda kukaa Dar tukiamnini maisha yako Dar pekee,

Mimi ningekushauri kama mdao mmoja alivyo sema Fanya Biashara, unaweza enda hiyo school of law bado ukaja kusugua mtaan, na kumbuka umepoteza muda kiasi gani, miaka minne ni mingi sana mkuu, na njia moja inapo kuwa imezibwa tafuta njia nyingine ya kutokea, so try business haijalishi una mtaji kiasi gani,

Kuhusu kusoma Master, Watanzania wengi tuaamini maisha yako kwenye kusoma Zaidi, hii si kweli kuna watu ni Maprofesa lakini maisha yao ni duni bado na wanaishi kwa kuunga unga tu, Kuendelea ni jinsi utakavyo tumia elimu uliyo ipata kukubadilisha, haijalishi ni elimu gani, kuna watu wana certificate lakini hiyo elimu imewasaidia kubadili maisha yao kabisa

Vyeti si ishu kabisa, Ndo maana kuna baadhi ya Mashirika hasa ya Kimataifa yanayo operate huku Bongo huwa hawaombi vyeti kabisa, nishawahi kuhudhuria interview kwenye mashirika matatu tofauti makubwa, nilishangaa walivyo niambia hawahitaji vyeti bali wanacho angalia ni jinsi gani unaweza kudeliver mambo,

Tuendako huko Vyeti vitakuwa mapambo na kinacho angaliwa ni Uwezo wako binafisi wa kufanya mambo, unaweza kuwa na Phd ya Masoko na mwingine akawa na Certificate ya Masoko lakini mwenye Certificate akawa anafanya mambo adimu kabisa kuliko wewe mwenye phd
 
I will differ with you slightly, ukiangalia hizo kampuni umezitaja hapo, nenda angalia their R&D departmet you will be shocked to find how many Phd holders wako huko. Dunia ya leo research ndio insababisha kampuni inatick!

Research and development centre ni heart ya kila kampuni as new product developments, market, zinaanzia huko but I am talking about key peoples... Nitajie kampuni ya tanzania yenye research and development centre serious itayotuajiri tukiwa na hizo phd na kutulipa vizuri..

Wapi serikalin kuna research and development centre serious yenye ufanisi as sony, huawei, samsung..

Mpaka leo kampuni za kiafrika zimeshindwa kufanikiwa kwa poor recruitment and promotion programes based on certificates etc as operations companies like tanesco lazima zi base kwenye perfomance as mnauza service to customers,, hebu imagine kampuni kama Tanesco inavyosua sua wakati ni monopoly as kila mtanzania ni mteja wake, ina wateja maelfu lakini inashindwa kujiendesha wakati almost all of senior managers, head of departments wana masters etc,,,

Wenzetu wanaweka watu wa shule katika position zinazihitaji shule tu as research and development centre, but kwenye sehem za operations experience and performance ndo inakuwa considered kumchagua mtu and not certificates.

Kwa style hii haitawezekana hata tukizaliwa upya kwa Tanzania kuja kuwa na kampuni levo za Toyota, Nokia etc as huko hakuna longo longo za vyeti tu, kazi zinafanywa kwa ku meet target as ukizembea tu Competitor anakupora customers.. Angalia presha walio nayo Apple, Samsung, Htc, Huawei, Nokia katika kugombania wateja ndo utajua why key peoples hawana elimu kubwa sana lakini experience za kufa mtu
 
We are talking about the same thing, kwa bongo najua ni vigumu sana kuwa highly trained and you get what you are worth but huku kwa wenzetu yani shule inaplay a very huge role in any company. Yani sisi bado sana inahitajika revolution kubwa sana, then again kampuni zetu sijui kwa nini hazipendi kuinvest in research!
 
problem ya undergraduate wengi tunafikilia kuajiriwa hatutaki kudhubut kufanya biashara hata kidogo but ninavyojua biashara inalipa kama ukiwa seriaz
 
Back
Top Bottom