Naombeni msaada wenu tafadhali

Naombeni msaada wenu tafadhali

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Habari zenu ndugu zangu mlio jukwaani
Naomba msaada mwenye ujuzi na hili:
Nilivamiwa na Vibaka siku ya J/tatu mida ya saa 2(mbili) usiku maeneo ya Sinza Makaburini wakitaka kunipora simu nililipambana nao hawakufanikiwa ila wanipasua na chupa usoni karibu na jicho hatimae kutokomea baada ya Wasamalia kuja kutoa msaada.
Nilipelekwa Hospital ya Sinza Palestina na Wasamalia wema nakushonwa nyuzi 2 nimeambiwa nirudi J/tatu kutoa nyuzi
Swali langu/Msaada wangu kwenu: Je kuna dawa yoyote nayoweza kutumia kufuta kovu litakalobaki na alama ya nyuzi nilizoshonwa!!!???
 
Pole kwa mkasa uliokupata wa kuvamiwa, Mzizi Mkavu anaweza kuja kukupa dawa ya kuweza kuondosha kovu lakini pia inategemea na umri
 
Kuna plaster zinauzwa za kupunguza ukali wa kovu unatakiwa uziweke hizo ukiondoa hizo plaster ulizokuwa nazo mwanzo..Unatakiwa utumie kwa miezi 2-6!Kaulizie famasi yoyote!
 
Back
Top Bottom