We tayar huna chako mkuu pole komaa umalize chuo utalipa deni kidogo,,, ukute ulikosea ku update taarifa zako kwa kutotaka kushirikiana na wenzio,,, piga moyo konde malizia mwaka wa mwsho urud kitaa kijana wangu,,,afu kma nshakusoma hv na hyo username ako mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨