King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
Mimi nili-apply na kupata mkopo wa HESLB mwaka wa kwanza. Na nili-update information zangu kama walivokuwa wakitaka. Mwaka wa pili hawakunipatia mkopo wakidai kuwa siku-update mkopo wangu...nikavutana nao mpaka nikachoka. Ila sasa najaribu ku-update kupitia OLAS kama registered member naambiwa kuwa hawana data zangu (akaunti yangu).
Naombeni mnishauri cha kufanya ndugu zangu.
Naombeni mnishauri cha kufanya ndugu zangu.