Jaman wadau kijana wenu nataka kuanza ujasiriamali nina mtaji wa million 4 nilikua na wazo la kununua Bodaboda lakn kuna mshkaji wangu kanishauri nifungue duka la rejareja la kuuza vitu kama mchele,unga, mafuta nk wadau naombeni ushauri wenu.
Dah!, Hongera Kwa Hatua Uliyofikia. Mimi Ninachoamini Ni Kwamba Kila Biashara Ni Nzuri Ili Mradi Haikuhatarishi, Pia Kila Biashara Inalipa, Na Kila Biashara Ina Mapungufu Yake Ila Si Kwa Kila Mtu Biashara Moja/ya mkumbo Kufanikiwa.
Mimi NaKushauri, Rejea Na Utumie Uzoefu Wako Pekee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.