Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu

Naombeni msaada wenu wa mawazo...kuhusiana na matokeo yangu

ushauri wenu p-e c-e m-c 3 ya point 13
coet-civil,mechanical eng,bsc industrial eng,bs mineral process eng
aru-archicture, bsc quantity surverying, bsc enviromental eng.,bsc geoinfomatics,bsc construction management,bsc geomatics...na nyingine nyingi tu ..
 
Kuna jamaa yangu amekidownload japokuwa sijakiona, anasema hadi ualimu unapewa 50% na kila koz wameiwekea asimilia hapo hapo...
Plz refer @ mr.maganga
.
.
jana nilikutumia hii message naomba kama umeipata unijibu kwanza halafu nakushauri kama unataka mkopo na unaona uwezo wako ni mdogo OMBA HIZI KOZI ,Bachelor of Science in ReaL Estate (Financeand Investment) ,Bachelor of Science in Regional Development Planning HIZI KOZI NI NZURI NA UNAWEZA PATA MKOPO NA UNA VIGEZO VYOTE NAKUSIHI SANA CHUKUA TCU GUIDE BOOK ANGALIA ARDHI UNIVERSITY FUATA HIZI KOZI ANGALIA VIGEZO UTAONA VINAFAA WEWE SI WA KWANZA KUSHAURI KUHUSU HIZI NI KOZI NZURI NA HAZINA USHINDANI,
..
Kanambia hzo mbili ni NON-PRIORITY je ni kweli?

Sajy,hizo programs ulizoandika hapo na Non-Priority kwenye suala la loan.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom