naombeni msaada wenu wadau

naombeni msaada wenu wadau

mtoto wa kibopa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
5,274
Reaction score
6,257
nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda advance moja ya shule za serikali mkoani mbeya,bahati mbaya kapangiwa combination ya hgl wakati yeye alisoma masomo ya sayansi tumefuatilia jinsi ya kumwamisha hyo comb tumeambiwa tuandike barua wilayani dogo kaambiwa aendelee na hyo hgl aliyopangiwa kiukweli dogo alikuwa akisoma tution ya pcb hyo hgl ni mpya kwake kisa cha kuomba ushauri ni dogo kabla ya kwenda advance alikuwa ame applay chuo cha afya muhimbili diploma na majibu bado hayajatoka but ana vigezo vyote vya kuweza kuchaguliwa,je kutokana na maelezo hayo dogo arudi nyumban kusubr hayo matokeo ya kwenda diploma au aendelee na hyo hgl ambayo hakuipenda na hana uzoefu wa hayo masomo?
 
duh! dogo ametisha O level kasoma sayansi tu na kafaulu!
anyway mpeleni tu asome hiyo hgl ila kama uwezo upo mambi yakitoka flesh afya mpeni kipaumbele chake.
hakuna kinachoshindikana bongo
 
Mi namshauri avute pumzi kwanza na hiyo h kunani , majibu ya afya yakitoka aende.Advance ni bahati na sababu akifeli hatakuwa na tofauti na yule aliyemaliza form four
 
acheni akazuge na hiyo HGL,majibu ya afya yakitoka vizuri basi ataenda anapopapenda but akikosa afya itabidi akakaze tu hukohuko coz anything hapen 4 a reason......
 
thanx mkuu kwa ushaur wako
 
acheni akazuge na hiyo HGL,majibu ya afya yakitoka vizuri basi ataenda anapopapenda but akikosa afya itabidi akakaze tu hukohuko coz anything hapen 4 a reason......
owk mkuu anything hapen 4reason but dogo anatia huruma kweli but kwa vigezo alivyonavyo sidhan kama atakosa
 
duh! dogo ametisha O level kasoma sayansi tu na kafaulu!
anyway mpeleni tu asome hiyo hgl ila kama uwezo upo mambi yakitoka flesh afya mpeni kipaumbele chake.
hakuna kinachoshindikana bongo
mkuu dogo nikichwa japo walitaka kumbania,yah ndo imebid tufanye hivyo mkuu tunasubiria hyo afya
 
owk mkuu anything hapen 4reason but dogo anatia huruma kweli but kwa vigezo alivyonavyo sidhan kama atakosa

kama afya uhakika basi kuleni pozi mpaka post za afya zitoke,dogo asikate tamaa.....
 
Back
Top Bottom