mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda advance moja ya shule za serikali mkoani mbeya,bahati mbaya kapangiwa combination ya hgl wakati yeye alisoma masomo ya sayansi tumefuatilia jinsi ya kumwamisha hyo comb tumeambiwa tuandike barua wilayani dogo kaambiwa aendelee na hyo hgl aliyopangiwa kiukweli dogo alikuwa akisoma tution ya pcb hyo hgl ni mpya kwake kisa cha kuomba ushauri ni dogo kabla ya kwenda advance alikuwa ame applay chuo cha afya muhimbili diploma na majibu bado hayajatoka but ana vigezo vyote vya kuweza kuchaguliwa,je kutokana na maelezo hayo dogo arudi nyumban kusubr hayo matokeo ya kwenda diploma au aendelee na hyo hgl ambayo hakuipenda na hana uzoefu wa hayo masomo?