Naombeni msaada wenu wana jamvi

Naombeni msaada wenu wana jamvi

rupiiiiiiiiii

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
8
Reaction score
2
Nawasalimu wote humu ndani!

Mimi ni mgeni naomba mnipokee, japo mara nyingi huwa napita kusoma.

Naomba msaada kwa wanaofahamu jinsi ya kujiunga na Post Graduate ya Education , Open University, pamoja na gharama zao kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom