Google NECTA waweza pata unachokihitaji. Kama hautaona basi jaribu kumuomba mtu anaejua IT aingie kwenye network and sharing centre then change adapter setting ili akachange DNS settingS aweke 8.8.8.8 . Labda itasaidia
Naendelea kujaribu na mimi , nikifanikiwa nitakufahamishaThanks ntajaribu njia hiyo maana Necta sipati statistics ninazozitaka!
ingia google then kwenye search typeThanks ntajaribu njia hiyo maana Necta sipati statistics ninazozitaka!
ingia google then kwenye search type
1.necta tanzania examination councils 2010. Utaona options click unayotaka itakupeleka kwenye website ya necta , kulia kwako utaona kwa juu kidogo kuna search hapo andika mwaka unaohitaji majibu yake.
2. au type kwenye google search 2010 site:http//www.necta.go.tz , hapo kwenye mwaka 2010 unaweza ukaweka 2011 au 2012 depends na results za mwaka gani unatafuta. Jaribu kama nilivyokuelekeza ukishindwa please let me know
Aah sasa nimekuelewa, naomba nami nijaribu kutafuta nikifanikiwa nitakujuza ok.Nimejaribu kutafuta sijapata statistics zake kwa % kuna matokeo tu. Thanks