Naombeni msaada wenu!

Naombeni msaada wenu!

Bonitah

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
33
Reaction score
13
Poleni na majukumu ya hapa na pale.

Naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza nikapata Statistics za matokeo ya mitihani ya secondary school O-Level kuanzia mwaka 2010 - 2013 anijuze, ili niweze kufanikisha research yangu ya shule.

Mbarikiwe sana!:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Nashukuru, ngoja nijaribu tena maana nilitafuta sikupata....! Thanks
 
Google NECTA waweza pata unachokihitaji. Kama hautaona basi jaribu kumuomba mtu anaejua IT aingie kwenye network and sharing centre then change adapter setting ili akachange DNS settingS aweke 8.8.8.8 . Labda itasaidia
 
Thanks ntajaribu njia hiyo maana Necta sipati statistics ninazozitaka!
 
ingia google then kwenye search type
1.necta tanzania examination councils 2010. Utaona options click unayotaka itakupeleka kwenye website ya necta , kulia kwako utaona kwa juu kidogo kuna search hapo andika mwaka unaohitaji majibu yake.
2. au type kwenye google search 2010 site:http//www.necta.go.tz , hapo kwenye mwaka 2010 unaweza ukaweka 2011 au 2012 depends na results za mwaka gani unatafuta. Jaribu kama nilivyokuelekeza ukishindwa please let me know
 
Nimejaribu kutafuta sijapata statistics zake kwa % kuna matokeo tu. Thanks
 
Back
Top Bottom