naisweet
Member
- Mar 26, 2013
- 47
- 9
menstrual cycle yangu Haiko sawa jee mtu kama hvi kuna uwezekano wakubeba mimba?
au nitatzo gan linamfanya haiko sawa na ni siku gan zitakua za danger naombeen msaada plz sijui nifanyeje na nataman mtoto sijabahatika kupata nimeenda spital nimeambiwa mayai yangu hayapevuki na sasa ndio natumia dawa jee zitanisaidia hzo dawa?
na tatzo hilo mtu anabeba mimba kweli?