Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Njia rahisi ni kuangalia specification online, angalia full model ya laptop husika kisha Google.Nawezaje kujua laptop yangu ina support mfumo upi wa wifi adapter?
Alternative fungua laptop kisha angalia connector ipoje, kama kuna Existing wifi icheki kujua.