Nilkuwa ninakohoa sana nikapewa dose ya *Ampliclox *(kama sijakosea sana)ya siku tano, ,nilivomaliza dawa kikohoz kikawa kama kimeanza upya,,nikatembelea phamarcy moja siku ya 4 baada kumaliza zile Ampliclox,,wakaniuliza km ni lini nimetumia dawa ya minyoo nikawaambia hapana cikumbuk ,,basi wakanipa dawa inaitwa VUMTREX'Nakunywa 3×1siku tatu..kifua kilkuwa kinauma sana nikawa natuliza maumivu na tramadol,,,sasa kinachonitisha asubuh mkuu hasimami(uume) kabisa na juzi nilitry kufanya mapenz usimamaj ulikua wa shida sana pia utendaj haukuwa wakaida...naomba msaada wa kitabibu maana nimepata wasi wasi kuhusu utendaj wangu wa kuhudumia ndoa. ..natanguliza shukrani.