Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uoga sometime inatokea unapokuwa na mawazo kuchoka pamoja na stress, ampicloxy caps haziwezi kukuletea side effect hizo tafuta time relax tibu kifua utakua ok sababu sijaona tatizo hapo la kukufanya uhusianishe kikohozi na kutosimama kwa uumeNilkuwa ninakohoa sana nikapewa dose ya *Ampliclox *(kama sijakosea sana)ya siku tano, ,nilivomaliza dawa kikohoz kikawa kama kimeanza upya,,nikatembelea phamarcy moja siku ya 4 baada kumaliza zile Ampliclox,,wakaniuliza km ni lini nimetumia dawa ya minyoo nikawaambia hapana cikumbuk ,,basi wakanipa dawa inaitwa VUMTREX'Nakunywa 3×1siku tatu..kifua kilkuwa kinauma sana nikawa natuliza maumivu na tramadol,,,sasa kinachonitisha asubuh mkuu hasimami(uume) kabisa na juzi nilitry kufanya mapenz usimamaj ulikua wa shida sana pia utendaj haukuwa wakaida...naomba msaada wa kitabibu maana nimepata wasi wasi kuhusu utendaj wangu wa kuhudumia ndoa. ..natanguliza shukrani.
Combination ya hizi dawa nyingine,,maana siku tatu zote sikupata choo mkuu nikahis hizi dawaAcha uoga sometime inatokea unapokuwa na mawazo kuchoka pamoja na stress, ampicloxy caps haziwezi kukuletea side effect hizo tafuta time relax tibu kifua utakua ok sababu sijaona tatizo hapo la kukufanya uhusianishe kikohozi na kutosimama kwa uume