Naombeni msaada

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Ni hivi nimepata kazi yakumtangazia mtu kazi yake so nikaanza mwanzo niliuza bidhaa mbili . Ila sasa hivi hata moja siuzi wateja waliokubali kufanya na mimi wanadai bidhaa nzuri ila kukubali na kununua bidhaa hawataki .

Nawengine nikiwaambia kuhusu hiyo bidhaa wanazima simu. Hawataki kunisikiliza hivi shida nini??
 
Unauza nini..?
 
Bei shingapi
Tuna Silver ambayo ni 60,000 kwa mwezi ambayo unapata huduma zote na kutuma ujumbe kwa wazazi ni mara moja kwa mwezi.

Tuna gold ambayo ni 80,000 kwa mwezi unapata huduma zote ila unatuma mara 2 jumbe kwa wazazi.

Tuna premium hii ni unaweza tumia jumbe utakazo kwa wazazi upendavyo na huduma zote unapata na nish. 120,000 kwa mwezi .
 
aha nimekupata kwahiyo kuna mtu amekupa umsaidie kuuza unafanya kama udalali flani si ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…