Naombeni msaada

Naombeni msaada

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Habari zenu wandugu,

Nimekuwa nasumbuliwa sana na tumbo, mwanzoni nilijua ni Typhoid au Amoeba, lakin nmepima sijakutwa na ugonjwa wowote. Nimepima kila kitu lakini sijakutwa na ugonjwa wowote. Hadi HIV nimepima lakini sioni tatizo.
Linaanza kuumwa soon after breakfast linakata flani hiviii.
Mwenye ujuzi wa magonjwa ya tumbo naomba anisaidie.
 
Back
Top Bottom