Naombeni msaada

DANIEL MWITA

Senior Member
Joined
Sep 16, 2012
Posts
117
Reaction score
41
ninaumwa na kichwa kisichotulia nilipima nikakutwa na malaria 5 nkapewa dozi ya mseto mwanzoni hakikupoa niliporudi hospital niliambiwa mseto itakua imeshindwa kuwaua wadudu nkatundikiwa drip za quinine sita nmetoka leo mchana lakini kichwa bado hakijatulia maji nakunywa mengi kweli chakula pia nakula lakini sioni mabadiliko naombeni msaada wenu.asante
 
me naona uwasubirie wataalam waje. watakupatia ushaur
 
Pole sn,dawa bdo zinafanya kaz ndo mana kichwa kinauma,pata muda mwing wa kupumzika,kunywa maj meng,chakula pia.utapona tu.
 

bado nahitaji msaada wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…