DANIEL MWITA
Senior Member
- Sep 16, 2012
- 117
- 41
ninaumwa na kichwa kisichotulia nilipima nikakutwa na malaria 5 nkapewa dozi ya mseto mwanzoni hakikupoa niliporudi hospital niliambiwa mseto itakua imeshindwa kuwaua wadudu nkatundikiwa drip za quinine sita nmetoka leo mchana lakini kichwa bado hakijatulia maji nakunywa mengi kweli chakula pia nakula lakini sioni mabadiliko naombeni msaada wenu.asante