Habari jf,,,,,, naombeni msaada wenu,,, nina tatizo la kubanwa na mkojo kila wakati n dan nikikojoa naumia,,, bt nilijaribu kunywa maji mengi ikaacha kuuma bt kutwa mkojo unanishika,,,,,,,
Wahi haraka hospital kwa daktari. Usikubali kujitibu nyumbani kienyeji, unaweza kufanya masihara siku umezidiwa unaenda kwa daktari unaambiwa "umeshachelewa".
Halafu kuwa makini mkuu. You Only Live Once (YOLO), hata kama kuna maisha mengine Paradiso lakini sidhani kama huko Paradiso patakuwa na groceries na mambo mengine kama hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.