Naombeni muongozo wa kuanzisha biashara ya cosmetics

Naombeni muongozo wa kuanzisha biashara ya cosmetics

baunsamuoga

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
1,135
Reaction score
1,182
Wana jamii wenzangu, wakuu na viongozi wote nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzanian!

Ndugu zangu Nina tarajia kuanzisha biashara ya vipodozi na urembo, binafsi sijawahi fanya biashara hii, hivyo heshima na tahadhima Nina omba kwa mwenye uelewa zaidi anipatie elimu, taratibu ili nianze safari ya utafutaji kwenye mazingira ya usalama na weledi kuepusha kusumbuliwa na mamlaka zinazo husika.

Kiwango cha mtaji wa kuanzia ni 10M,mpaka 15M. Nategemea mazuri kutoka kwenu Wana darasa, ahsanteni
 
Mmmh,,, biashara yoyote ukiwa tu na vibali na raia wa Tanzania hakuna wa kukusumbua, kuhusu uendeshaji wa biashara hiyo na faida zake inategemea eneo na ushawishi wako.

Lakini biashara kama hizi zinawafaa mara nyingi watu maarufu na wanamitindo wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii hawa ndio wanafaida kubwa kwenye hizo biashara za vipodozi na urembo.

Kwahiyo kuwa makini na biashara unayotaka kuwekeza, labda kama unahitaji ushauri mwengine wa biashara ?
 
Back
Top Bottom