upo na gari gani mkuu,au haujui consuptions zinatofautiana kulingana na aina ya gari unayotumia?Wakuu poleni na kazi!!
Nataka kwenda morogoro kikazi ila niko na privet car ila nataka nipite short cut ya mbagala hii njia ya ikwiriri!!sitaki kupita hii morogoro road hadi chalinze naona mbali!!nakatiza mbagala nadhani huko mbele nitaenda kukuta ile lami ilokatiza kwenda morogoro!!!vipi wenye uzoefu na magari hapo nitatumia wese kiasi gani!!!
Hiyo njia kuanzia dar unapitia wapi?Nani kakwambiaa ina lami mkuuu...
Njia ipo kwenda moro unapitia selou national park unatokea sehemu unaitwa mloka unatokea morogoro....hiyo njia ndy kwanza inaandaliwa
Ova
Mimi njia pekee ya mkato ninayo jua ni ya kupitia Mbagala, mvuti, Chanika , Pugu Kisarawe na kutokea Kibamba B hii unakwepa foleni za Mjini lakini huko unakosema sikujuiWakuu poleni na kazi!!
Nataka kwenda morogoro kikazi ila niko na privet car ila nataka nipite short cut ya mbagala hii njia ya ikwiriri!!sitaki kupita hii morogoro road hadi chalinze naona mbali!!nakatiza mbagala nadhani huko mbele nitaenda kukuta ile lami ilokatiza kwenda morogoro!!!vipi wenye uzoefu na magari hapo nitatumia wese kiasi gani!!!
Mimi njia pekee ya mkato ninayo jua ni ya kupitia Mbagala, mvuti, Chanika , Pugu Kisarawe na kutokea Kibamba B hii unakwepa foleni za Mjini lakini huko unakosema sikujui
usipokuwa makini kwa njia hiyo andaa na hela ya kusafirishia hiyo gari,kuna kila dalili itarudi ipo kama mzigo ndani ya fuso..Mkuu niko na b.m.w v6