wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Wakuu poleni na kazi!!
Nataka kwenda Morogoro kikazi ila niko na privet car ila nataka nipite shortcut ya Mbagala hii njia ya Ikwiriri!! sitaki kupita hii Morogoro road hadi Chalinze naona mbali!! nakatiza Mbagala nadhani huko mbele nitaenda kukuta ile lami ilokatiza kwenda Morogoro!!! vipi wenye uzoefu na magari hapo nitatumia wese kiasi gani!!!