Naombeni mwaliko wa kesho

Hatuna mualiko watu wanakula pamoja , ukiona watu wanaenda kula wewe unga tela.

Hatuna mambo ya kadi kama wafungwa ,hata harusi zetu simple tu kishkaji ...Mambo ya maukumbi kama wakimbizi hatunaga .
 
kesho asubuhi na mapema tu naanza na supu ya kuku saaafi.

na kuku nachinja mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…