Baby umekosa kuja kula kwangu unahangaika huko kwingineJamani eeh...
Nimeona nivunje ukimya maana kila mtu yupo kimya
Naombeni mnialike Krismasi jamani mimi hata sili sana, kuku wawili, nyama ya ng'ombe kilo moja, pilau sahani tatu, nne au tano nashiba kabisa mimi hata sili sana
Nasubiria mafuriko ya mialiko
Hapana Khantwe sio unyonyaji hiyo inaitwa cost sharing, karibu sanaHahaa huu unyonyaji sasa
Make sure unafika mapema bestThanks dear ngoja niwahi
kwa kula huko kama unakufa hapana kwa kweliLazima uone aibu manake sio kwa kunitupa huku hata huniulizi krismas nakula nini
Hapana mpenzi njoo kwanza nimekumisiNiambie nije basi baby mi nakajua uko na mwenzangu