Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
JNIA -FINLANDNitumie mwanangu
I love uSawa baby nitakuja
065673527_Jamani eeh...
Nimeona nivunje ukimya maana kila mtu yupo kimya
Naombeni mnialike Krismasi jamani mimi hata sili sana, kuku wawili, nyama ya ng'ombe kilo moja, pilau sahani tatu, nne au tano nashiba kabisa mimi hata sili sana
Nasubiria mafuriko ya mialiko
Ushindwe wewe tu hapoJamani....
Sijajua kama upo Tanzania au huku dunianiNipe direction mdogo ake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu kumbe upo duniani
Jamani eeh...